MOUNT SINAI CHURCH OF THE NAZARENE
Our Weekly services' News
Our services are in Swahili, translated in English and French. If you plan to visit Swahili speaking Countries in Africa such as, DR Congo, Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda and Mozambique. this is the best Church to check in. You will practice key introductory words capable to help you talk to people.
Lead Pastor 's Recommendation
HABARI YA KANISA




TANGAZO




Maubiri Na Somo Letu ya Week (2) zijayo Zi takuwa juu ya ihi Kitabu ki me tiliwa hapo Chini " Kahaba Mkuu Aketiye Juu Ya Maji Mengi...."
Karibu Kanisani ku tarehe July 13th, 2025
Tu Me Tayarisha Maombi juu ya Watu Wote Wa nae Shida mbali mbali za Maisha, Kila aina ya Ugonjwa, na tatizo lolote, tu ta watia mkononi ya Yesu Christo,..... Ita Rafiki ao Ndugu yoyote anaotaka ku ona nguvu la maobi, Mungu Mwenyezi ata wa bariki wote!
Announcement
We welcome you to our Church on July 13th, 2025
We Have Prepared Prayers for All People Who Have Various Problems in Life and all Kinds of Sickness We Will Put Them in the Hands of Jesus Christ,..... Call Any Friends or Brothers Who Wants to See the Power of Prayer, God Almighty Will Bless You All!
We get two Sessions of Prayer weekly for People of all type of sicknesses and all other problems in life that make barrier to your growth or success, God provide lights to get on the right path!
Every Saturdays and Sundays We get a Special moment in Church to Present people's life' hardship to God